Ndio iko wapi hiyo morenaNko poa Dada karibu morena hotel tufunge Na kuukaribisha mwaka mpya
Baba wawili huyo
Hahhahaha inabidi mvumilie tu
Inapendeza kusikia hvyo jirani,,umeshaandaa tairi lako na debe kwa ajiri ya usiku wa leo
Inapendeza kusikia hvyo jirani,,umeshaandaa tairi lako na debe kwa ajiri ya usiku wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app