Hahahaaa 3-1Ngapi hukooooooooooo
Sana aisee,,tulikuwa na hali mbaya sana!!Yaan baba wawili sasa hivi ukiwa unaangalia man u huna wasiwasi kabisa mou akufwe kabisa vijana wanamuumbua
Hahhaha baba wawili usinipe lawama naanzaje mm kuwapinga wawili wako wa kudownloadNdio mwenyew jiran,,sema kuna shangaz yako hapa ana kampen yake ya chini kwa chni kupinga hao wawili hahahaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeenh mm na uparoko wapi na wapi we mzee
Naye achwa abemendwe tu anavyopenda chura
Sijamtupa mm ila aendelee kula chura uko
Mkuu nashukuru sana na pole kwa wote.
Muhimu kufanya hivyo cousin, yaani muhimu sanaaa.hahh!!..me kuhesabiwa labda katikati ya mwaka hivi.
Hahahaha, we ni Mama mchungaji nilisahauEeenh mm na uparoko wapi na wapi we mzee
Una nn we binti eti
Hiko ndio kikubwa Mungu amlinde tu