[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka mpaka kwenye daladala wananishangaa
Baba wawili hata ww sijakudhania kabisa upo kwenye list ya wabaya wangu
NdiwooooooNakupenda mm jamani
Nimeamka na nguvu na kasi zaidi nipo mzima sana babe hofu kwako tu
Yaan mjomba wako ananipenda sana yaani mpaka najihisi kurudi ujana kupendwa rahaaa ukipendwa ringaaaaa
Rafiki kwa hiyo unataka kuniambia kuwe wewe hupendi tamuuuuuuuuuuuuu?[emoji16][emoji16][emoji16]Mume mpya nikitaka nampata within 3 second Rafiki
Sasahivi najipa tamu mwenyewe [emoji38][emoji38]Rafiki kwa hiyo unataka kuniambia kuwe wewe hupendi tamuuuuuuuuuuuuu?[emoji16][emoji16][emoji16]
Ndo nausikia sasa[emoji23][emoji23]alafu wahenga nao washambenga sana
Mars ukalione lile jiwe linaloelekea duniani[emoji23]
Baaasi [emoji114][emoji114]nauzingatia mimiEiish basi uufanyie kazi acha bahati za wenzio bwana
Unapandagaa daladala kweliii au unatuzugaaa jiwe ...
Yupo kwenye list ajiandae[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi mkuuNdiwoooooo
Mkienda kushtakiana kwa mwenye mkoa wake si atawahukumu eti.?Inakuwa mnabakana yaan unabakwa huku unajiona unakulwa na mtu hampendani
Mume mpya nikitaka nampata within 3 second Rafiki
Sasahivi najipa tamu mwenyewe [emoji38][emoji38]
Jamaniiii [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Na utayapaaaataaaaaaaa
Baaasi [emoji114][emoji114]nauzingatia mimi