Rafiki pole kwa kupinduliwa mchana kweupe tena mbele ya jiwe!![emoji847][emoji847][emoji847]
Embu niache uko[emoji19][emoji19]unanipa pole ya kiuongoRafiki pole kwa kupinduliwa mchana kweupe!![emoji847][emoji847][emoji847]
Shangazi wacha nimalize eda mieIli ukikojoa utoe sumu ebu niambie unaanzaje kumkataa prince
Nipo hapa shangazi nakunywa maji
Poa mzimaMakapuku za muda
Ili ukikojoa utoe sumu ebu niambie unaanzaje kumkataa prince
Hakuna cha kumaliza eda shangazi ameshasema nitagieni prince mmShangazi wacha nimalize eda mie
Rafiki umepinduliwa mchana kweupe tena mbele ya jiwe,naona aibu mimi![emoji12][emoji12][emoji12]Embu niache uko[emoji19][emoji19]unanipa pole ya kiuongo
[emoji38][emoji38][emoji38]ndio tiba ya joto.?Kunywaaa yakutoshaa jua kalii
We endelea kukaa kwenye mtelemko tuNiko hapa kwenye mtelemko
Unateleza na nini,?Niko hapa kwenye mtelemko
Embu niache uko[emoji19][emoji19]unanipa pole ya kiuongo
[emoji36]ingia uvunguni kwakweli aibu hii ya kufungia mwakaRafiki umepinduliwa mchana kweupe tena mbele ya jiwe,naona aibu mimi![emoji12][emoji12][emoji12]
Mapenziii haya bwanahRafiki umepinduliwa mchana kweupe tena mbele ya jiwe,naona aibu mimi![emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna cha kumaliza eda shangazi ameshasema nitagieni prince mm
@Lyon Lee embu mtag princeHakuna cha kumaliza eda shangazi ameshasema nitagieni prince mm
Shulee hapa nimefikaaWe endelea kukaa kwenye mtelemko tu
Habari yako maryMjomba wako hajambo,umeona anavyomchokoza jiwe.?