Makapuku Forum

Kwa wale mnaotaka kwenda China Behaviourist na marybaby hakikisheni mnapata paspot size kabisa, ushauri wa aunt yangu Shunie kuhusu chura muuzingatie isije ikatokea kama yule kimada wa anko wangu Lyon Lee jina lake limenitoka kidogo maana alikuwa mweusi sana, kaenda Vietnam kufuata chura karudi bila chura anapendaga kifo cha mende tu siku hizi.
sasa burudikeni na hili songi

Tumosa nakusalimia

 
Binamu hujui tu ulivyonikuna na hii nyimbo naomba uniwekee audio yake au video yake og sio ya live kama hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…