Naomba nianzishe tennis news and updates. Mimi ni mgonjwa, fanatic na mchezaji wa tennis hivyo nikipata wanachama kwenye kapuku nitakuwa nawapa maendeleo ya kinachojiri. Hivi sasa kuna Italian open kwenye clay silali mpaka mchezo uishe.