Hapo kwenye rangi unamaanisha nini Tumosa?! NI kwamba mke mwenzako, au?! We dada
Shunie, unao wangapi humu? Mi kama binamu yako naumia nikiona wapo wengi bhana...! Mimi nimemwa-approve
Wick tu hata kama hana hela manake ndie pekee anayeweza kumtoa nduki
Malcom Lumumba kwenye huu mtaa!