The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,150
MarahabaaaaShikamoo The Book
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndiwoooo ilikuwa zamu yngu
Chelsea wamepanga kuwapeleka mashabiki wao Auschwitz kupata elimu ya namna ya kushangilia katika uwanja wao wa Stamford Bridge bila kuleta vurugu ili kupunguza vifungo ambavyo timu hiyo inakumbana navyo. (Sun)
NdiwooooKwahiyo unatucheka vibonge sisi
Leo zamu ya mzee wa churaEndelea na leo
Tunaomba uwe wewe[emoji113] [emoji113] [emoji113] ,makapuku ,hivi kiongozi wa makapuku ni nani huyu
Hakuna kiongozi humu kila mtu ni kiongozi[emoji113] [emoji113] [emoji113] ,makapuku ,hivi kiongozi wa makapuku ni nani huyu
MfyuuuuuuNdiwoooo
Yuko wapi sasaLeo zamu ya mzee wa chura
Nilijua kuna kubwa la makapuku, OK safi sanaHakuna kiongozi humu kila mtu ni kiongozi
Hahahaha, mie siwezi AseeTunaomba uwe wewe
Hakunaga hizo mambo humu kila mtu humu ni kiongoziNilijua kuna kubwa la makapuku, OK safi sana
Sawa sawaHakunaga hizo mambo humu kila mtu humu ni kiongozi
Nipo hapa![emoji123][emoji123][emoji123]......nimeteuliwa na kiranja wa jukwaa kulinda jukwaa leo!Yuko wapi sasa
Kiranja wa jukwaa yupo, anaitwa Tumosa!Hakuna kiongozi humu kila mtu ni kiongozi
HahahahaKiranja wa jukwaa yupo, anaitwa Tumosa!