eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
SalamaMakapuku forum habari ya asubuhi
Nzuriii ...kwemaMakapuku forum habari ya asubuhi
Na mm ntavaa nyanya pensi
Nataka kumfahamuWewe si umshamjua shululu tayari? Ama unataka kupigwa cable mpya?
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Sifa na utukufu kwa atoae pumzi
Jumamosi tulivu yenye maombolezo
Rest in peace kwa wote waliopoteza maisha ndani ya MV Nyerere
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu
Mbunge na DC walipiga sana kelele kwa kile kivuko lakini ziliishia kutolewa ahadi tu bila utekelezaji
Njema za ww EddyMakapuku forum habari ya asubuhi
ShikamooSalama
Mambo ya obe na lee siku ya Get together kinondoni.Na mm ntavaa nyanya pensi
Sema bhanaa! Tukachafue ukuta..Hapana mkuu
Hapana sitaki Shululu anitoshaSema bhanaa! Tukachafue ukuta..
Ndio utulie sasa! Wewe umekirukia mambo kumbe mwenzako anataka kupigwa cable..?Hapana sitaki Shululu anitosha
MarahabaaaShikamoo
Mweeee kumbe ndo dhamira yke hyoNdio utulie sasa! Wewe umekirukia mambo kumbe mwenzako anataka kupigwa cable..?
Wengine wako wapi kwanHapana bhanaa.!
Natania tuu