Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Kama bro bado mbahili basi jua kuwa hujamfikisha anapotaka afike. We endelea na safari tu wala usikate tamaa. Ukimfikisha unakotaka kumpeleka mwenyewe utaleta mrejesho hapa. Hakuna mwanaume mkarimu, mpole, anayejua kujali na mwenye ubinadamu kama Msukuma !!! [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109]
Uwiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we shimba mm natania tu woiiiii usije ukajua serious eti sijamfikisha anapotaka khaaaaKama bro bado mbahili basi jua kuwa hujamfikisha anapotaka afike. We endelea na safari tu wala usikate tamaa. Ukimfikisha unakotaka kumpeleka mwenyewe utaleta mrejesho hapa. Hakuna mwanaume mkarimu, mpole, anayejua kujali na mwenye ubinadamu kama Msukuma !!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carba akee mm sitaki ujueWamesahau sifa moja ya ushamba[emoji23][emoji23]
Hata mimi najua kuwa ni utani. Mtandaoni humu sichukuliagi mambo siriazi unless kama ni ishu za kumzindua mtu [emoji16][emoji16][emoji16]. Wewe Shunie wewe basi tu [emoji23][emoji23][emoji23]Uwiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we shimba mm natania tu woiiiii usije ukajua serious eti sijamfikisha anapotaka khaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carba akee mm sitaki ujue
Hata mimi najua kuwa ni utani. Mtandaoni humu sichukuliagi mambo siriazi unless kama ni ishu za kumzindua mtu [emoji16][emoji16][emoji16]. Wewe Shunie wewe basi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushamba ni sifa nzuri [emoji16][emoji16][emoji16]Wamesahau sifa moja ya ushamba[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samahani sana kama mbebez wako ni msukumaView attachment 867187