Mikwara Ya Andunje
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 391
- 804
KaribuLazim nije nikutembelee nione ubillionare wako
Kwahiyo unakuja au hauji?He he haya mambo yameanza lini babu mm na ww kuitana pm [emoji23][emoji23] usiniambie wakukaguliwa wameisha unataka unikague na mm
Karibu
Hili hekalu geti linafunguliwa kwa remote utastaajabu badala ya kuweka vitofali chini mimi nimetandaza oti za elfu kumikumi ole wako uziondoe
Kwahiyo unakuja au hauji?
Yaani wewe... hebu njoo PM kwanza nikuambie kitu changu...Shikamoo babu
Nitakuitia mbwa wangu wa Kijerumani akufanyizieHapo kwenye kutandaza noti chini utanisamehe nitaziokota zote
Basi sawa...Hahahaah babu mm siji ukitaka andamana
Basi sawa...Bunju C
Area of Millionaire
Mito auUsiku wa kukumbatiana [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Njia ya kuelekea Kalenga au ukifika pale junction ya kushuka Ipogolo unakunja kama waelekea Veta!?..Kule uwanja wa Samora.....
Nje wanachoma sana nyama.
Santee ila sikuumia sana, ni nyuzi 8 mkono wa kushoto tu!..Jamani pole sana kwa ajali bae
Huyu wa Simba!?.. Ila iringa si mwenyeji kivile aseh, inaelekea alikuwa na watoto wazuri!.Hivi Hans Poppe unamfahamu ?
Alikuwa na totoz vijana Iringa nzima walikuwa wanafukuzia sema hawakufanikiwa
List ilikuja toka alipofariki sasa!... Alikufa kwa Ngoma!!.Sijawahi kumsikia akikula anakuandika kwenye note book leo nimemkula shunie au
kilughaNitakufundisha ktu gan
Nitajisimamia mwenyewe hiyo kesi ikinishinda wakili bebe mama!😀..Subiri ntakapokusomea mashtaka yko
Ndo wapi huko babuYaani wewe... hebu njoo PM kwanza nikuambie kitu changu...
Kisukuma au?kilugha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawaNitajisimamia mwenyewe hiyo kesi ikinishinda wakili bebe mama!😀..
ShikamoooooKumekuchwaaaaa salamaaaa