...unakakuta kabinti kamenoga kamependeza, kamejibana kakabanika vizuri halafu kwa sauti kabisa SHIKAMOO Obe, unajibu unashindwa hata kutizama namna alivyopendeza na hata kuisoma namba unaisoma kimyakimya. Bila shikamoo unajikuta unatoa na credit kabisa
Shikamoo mkuuSijawahi kukataaa shikamoo mimi.
Ndio kwao Lushoto
...unajua silipendagi hili, lakini kwa kuwa imeshakuwa ni kama 'prefix' ya hapa JF, ila huku MF huwa hatunayo sana
Shikamoo mkuu
Ngoja nimuamkie tena
Marhabaaaa Tumosaa.Shikamoo mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo nakujuza sasaMbona kuna siku alinikatalia
[emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Marhabaaaa Tumosaa.
Marhabaaaa Tumosaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo nakujuza sasa
Hahaha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha.
JF huwa wanahisigi mimi kijana fulani.
Mara wahisi mimi mzee tenaa. Ambao nimeonana nao wanajua ukweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe unahisije mpwaa ?Hahahah
Kwahiyo anko we upoje sasa
Wewe unahisije mpwaa ?
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Wala hujakoseaaaaa mpwaaaYaan anko hisia zangu zinaniambia we ni mtu mzima flani wa makamo wale wazee vijana wasiopenda kuzeeka
Km ww ni mbabu njoo hapa Bunju kwenye hekalu langu nikupe kazi ya ulinziHey! Naitwa "Babu" Asprin. hiyo "mkuu" muitane nyie kwa nyie...
Last warning...
Hahhaha nilijua tu nakumbuka avatar ya supla ya ankoWala hujakoseaaaaa mpwaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]