Makapuku Forum

Anakuja binamu msubiri
 
weka pcha tuone kichwa cha chini kinavokuwa akili ikihamia

...aliyeandika maneno haya ni wewe mama JJ!!!1 Duh, kumbe mjini kuzuri aisee, wewe uliyekuwa unaandika maneno ya adabu hadi unaweka na nukta kiulizo leo unataka picha ya kichwa cha chini.
Inabidi nami nitoke Lindi nije mjini wallah
 
Kaa huko utakuta mjini pashasogea ureno na visa hauna
 
...aliyeandika maneno haya ni wewe mama JJ!!!1 Duh, kumbe mjini kuzuri aisee, wewe uliyekuwa unaandika maneno ya adabu hadi unaweka na nukta kiulizo leo unataka picha ya kichwa cha chini.
Inabidi nami nitoke Lindi nije mjini wallah
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…