makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,452
- 108,532
Eeimen!![emoji524]TUOMBE:
Mtakatifu,Mtakatifu,Mtakatifu ..Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa siku ya leo.
Tunaomba Toba Baba kwa makosa yote uturehemu Ee Baba.
Tunawasamehe wote waliotukosea.
Tusaidie tuzidi kukupenda,kukuheshimu na kukutumikia.
Asante kwa ajili ya watoto wako wa kike na kiume,Asante kwa ajili ya uponyaji wa Mwili na Roho...Tunalihimidi jina lako Takatifu na Sifa,heshima,Shukurani ni kwako Ee Baba Mungu mkuu
Endelea kutupigania Mfalme wa Amani maana tunakutegemea wewe tu.
Endelea kutuponya,kutufariji,kutubariki katika kila eneo.Hesabu hatua zetu na vinywa vyetu vijazwe sifa zako daima.
Bariki kuingia na kutoka kwetu Damu yako Takatifu Yesu Kristo inene mema.
Roho Mtakatifu kaa nasi tufundishe katika kila hatua.Asante Baba
Wasaidie watoto na wajukuu walioanza mitihani leo wakumbushe wasaidie wawe washindi.Asante maana utatenda sawa na mapenzi yako naomba nikiamini katika jina la Yesu Kristo Amen.
SIKU NJEMA YA AMANI NA USHINDI DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE [emoji257][emoji257][emoji257]
Asante mrs info ...uzidii kubarikiwaMuwe na asubuhi njema na siku njem [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Ameni[emoji120] [emoji120][emoji524]TUOMBE:
Mtakatifu,Mtakatifu,Mtakatifu ..Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa siku ya leo.
Tunaomba Toba Baba kwa makosa yote uturehemu Ee Baba.
Tunawasamehe wote waliotukosea.
Tusaidie tuzidi kukupenda,kukuheshimu na kukutumikia.
Asante kwa ajili ya watoto wako wa kike na kiume,Asante kwa ajili ya uponyaji wa Mwili na Roho...Tunalihimidi jina lako Takatifu na Sifa,heshima,Shukurani ni kwako Ee Baba Mungu mkuu
Endelea kutupigania Mfalme wa Amani maana tunakutegemea wewe tu.
Endelea kutuponya,kutufariji,kutubariki katika kila eneo.Hesabu hatua zetu na vinywa vyetu vijazwe sifa zako daima.
Bariki kuingia na kutoka kwetu Damu yako Takatifu Yesu Kristo inene mema.
Roho Mtakatifu kaa nasi tufundishe katika kila hatua.Asante Baba
Wasaidie watoto na wajukuu walioanza mitihani leo wakumbushe wasaidie wawe washindi.Asante maana utatenda sawa na mapenzi yako naomba nikiamini katika jina la Yesu Kristo Amen.
SIKU NJEMA YA AMANI NA USHINDI DAMU TAKATIFU YA YESU KRISTO ITUFUNIKE [emoji257][emoji257][emoji257]
MweeeeWanawake mbioni kupatiwa emoji ya hedhi ambayo itakuwa inatumika kama njia mbadala ya mawasiliano kwenye simu kuonesha kipindi wanacho kipitia pasipo kujisikia vibaya, pia kuondoa aibu pale mwanamke anapotaka kuelezea hali yake kwa mtu mwingine kupitia emoji.
Mpaka sasa Unicode Consortium, taasisi isiyo ya kifedha inayomiliki emoji zote Duniani, bado wapo katika mchakato wa kutafuta emoji itakayofaa kutumika kama alama ya hedhi kwa mwanamke ila upo uwezekano mkubwa emoji yenye uso wa kutabasamu pamoja na tone la damu ndiyo itakayochaguliwa mwaka 2019View attachment 864791
Kwa hyo humo hakuna kulipia mke mweee[emoji85] [emoji85]Kampuni ya Amazon wazidi kuongeza maduka ya Amazon Go, maduka ya bidhaa yasiyokuwa na wahudumu ndani, yaani duka halina mtu wa kukuhudumia badala yake unaingia unachukua bidhaa unayotaka kisha unatambaza alama za QR kwenye programu tumishi ya Amazon Go ambayo inakuwa kwenye simu yako.
Maduka hayo ya Amazon Go yanatumia kompyuta zenye uweledi wa hali ya juu pamoja na baadhi ya kamera zilizofungwa ndani humo kuweza kuangalia aina ya bidhaa mteja aliyochukua kisha kuhifadhi taarifa zake kwenye programu tumishi ya Amazon Go, programu ambayo ni lazima uwe nayo kwenye simu yako kama unataka kununua bidhaa kwenye maduka hayo yasiyokuwa na wahudumu ndani.
View attachment 864793
Lup u[emoji8] [emoji8]Muwe na asubuhi njema na siku njem [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
MhhhhhhhhhhHapo ni mwamba ngoma tena bibie.
[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]huo moto sasa mhh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]tutafia humu
Eehh!! Kila mtu atavutia kwake.Mhhhhhhhhhh
Waite fire wakae karibu karibu.[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]huo moto sasa mhh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]tutafia humu
[emoji16][emoji16][emoji16]kabisaaEehh!! Kila mtu atavutia kwake.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Waite fire wakae karibu karibu.
Asante mrs info ...uzidii kubarikiwa
Mm napenda ile moto inayolipuka kama ninaowekaga unawaka tu [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] kwa fujo
Kwa hyo humo hakuna kulipia mke mweee[emoji85] [emoji85]
Unachukua bidhaa unaondoka au?
Nani alikuficha babe jamani nimewasha nipigie basiIm here Mama la Mama!!.. Umezima data tatizo!..
Nakupigia Video call nikuone!..Nani alikuficha babe jamani nimewasha nipigie basi
Nawasalimu wote, ni muda mrefu umepita toka niwe na majukumu mengi na kushindwa kuwa pamoja nanyi.
One love