...yaani umenisalimia vizuri sana, unatumiaga kinywaji gani? umenifurahisha sana, sasa hapo njoo pembeni huku tusalimiane kiarabu makiss matatu
Kawaida,hata mm nnazo mkuuMarhabaaHahaha, kuna watu wana hadi namba za simu ( soma juu huko utaona)
Likurudie mwenyeweMfyuuuuuuu
[emoji33][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hello ankoo
Kawaida,hata mm nnazo mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunajuana hapa hapa makapukuHahahaha ,hapa tulipofika inatosha
Hajambo kabisaSijamboo shemeji mzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] View attachment 860018
[emoji3][emoji3][emoji3]...nimeshiba mimi...hello binamu, umenisalimia vizuri sana leo, yaani hadi focus ya show imepotea ghafla. unatumiaga kinywaji gani? Au unataka kula kabisa uagize kwa hela yako?
Hayaa dadaHajambo kabisa
OK OK OKKawaida,hata mm nnazo mkuu
Hauuuuuuziiiiiiiiiiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hauuuuuuziiiiiiiiiiiiiiii
Kunywa za kuonjaa kwwnzaaaaaaaaaa......nimetest mitombooo
Weeeee hizo za leo kutafutaaa usingziiii keshooo si ndo mabendiiiii deiiiii mpaka tubakubebaaaa...kesho mitombo yenyewee inaaachiwaaaWouzeeeeeerrrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] hauzimiiii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] asante jamani ubarikiwe mpaka ushangae pale ulipotoa nitakunywa kesho sasa hivi usiku hukawii kunidai picha
Weekend vibe bwanaaaa!Anko tucheke wote hiko kicheko jamani