Makapuku Forum

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
Halua ndo nn binamu mm sijui

Halua bhana binamu ni kama ugali na mlenda kwa pamoja halafu na samaki sato wa kubanikwa kisha unauziwa kwa bei ya punguzo chenji inayobaki unaenda kununulia makontena ya Makonda maana kashindwa kulipa kodi halali ya serikali na ndo maana mimi nakunywa bia ili tuendelee kujenga barabara nchi nzima na nikitaka kwenda Dar napanda reli ya mwendokasi maana mjini kuna umeme wa mtera na kuna chura zikivalishwa shanga zinakaa utapenda kula bia na chapati. Hii ndo halua, vipi unataka na ufafanuzi wa tende!? Maana Znz kwa tende hawajambo.

Kama una swali jingine uliza tu binamu, Mimi na wewe tumetoka mbali
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana binamu sina swali
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
Hahaaaaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Tumosa mpenda mihogo ya nyama! [emoji23][emoji23]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…