Asee mie miguu yote inacheza Mkuu ,mpira uje kushoto au kulia huchukui ,nakumbuka niko mdg watu wazima wanakuja hm Mikocheni ,Kuniomba nikacheze,ni Mkubwa anajiuliza nyie watu wazima mnafuata huyu kuna nn? dah maisha haya