Clkey JF-Expert Member Joined May 29, 2014 Posts 5,720 Reaction score 15,352 Jul 14, 2018 #323,921 Goal Kick said: Tuko Poa Kabisa, Vipi Mrembo! Click to expand... Sijambo kabisaaaaaa sijui ww
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Jul 14, 2018 #323,922 Clkey said: Sijambo kabisaaaaaa sijui ww Click to expand... Sijambo Na Karibu Jamvini!
Clkey JF-Expert Member Joined May 29, 2014 Posts 5,720 Reaction score 15,352 Jul 14, 2018 #323,923 Goal Kick said: Sijambo Na Karibu Jamvini! Click to expand... Shukrani
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,444 Jul 14, 2018 #323,924 Goal Kick said: Kwa Sisi Walevi Wa Mataputapu Chai Huwa Hatugusi Kabisa! Click to expand... Mmmmh
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Jul 14, 2018 #323,926 Clkey said: Shukrani Click to expand... Pamoja Sana Mkuu Wangu
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Jul 14, 2018 #323,927 Madame S said: Mmmmh Click to expand... Habari Ndiyo Hiyo!
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Jul 14, 2018 #323,928 Mtu Mwenye Utu, Mtu Wa Watu.
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Jul 14, 2018 #323,929 Mtu Mwenye Utu, Mpenda Watu.
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Jul 14, 2018 #323,930 Mtu Mwenye Utu, Mcha Mungu.
ABJ JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 4,922 Reaction score 13,817 Jul 14, 2018 #323,931 Goal Kick said: Mkuu ABJ Hujambo? Click to expand... Me sijambo goal kick za weekend
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Jul 14, 2018 #323,932 ABJ said: Me sijambo goal kick za weekend Click to expand... Wikiend Njema Kabisa Huku Kwetu, Sijui Huko Kwenu Kaskazini!
ABJ said: Me sijambo goal kick za weekend Click to expand... Wikiend Njema Kabisa Huku Kwetu, Sijui Huko Kwenu Kaskazini!
ABJ JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 4,922 Reaction score 13,817 Jul 14, 2018 #323,933 Goal Kick said: Wikiend Njema Kabisa Huku Kwetu, Sijui Huko Kwenu Kaskazini! Click to expand... Me wa kusini.. ..huku kwema piaa
Goal Kick said: Wikiend Njema Kabisa Huku Kwetu, Sijui Huko Kwenu Kaskazini! Click to expand... Me wa kusini.. ..huku kwema piaa
Iyegu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 6,276 Reaction score 12,424 Jul 14, 2018 #323,934 Mkuu ABJ Basi Hakuna Shda Mimi Nilijua Ni Kaskazini. Huku Kwetu Ni Salama Salimini
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Jul 14, 2018 #323,935 Madame S said: Muulize hayo anayopunguza anaenda kuyaweka wapi au kumpa nani Click to expand...
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,444 Jul 14, 2018 #323,936 Tumosa said: Click to expand... Usicheke sana jaman, uko poa
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Jul 14, 2018 #323,937 Madame S said: Usicheke sana jaman, uko poa Click to expand... Nko poa hbr ya wkend
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,177 Reaction score 34,444 Jul 14, 2018 #323,938 Tumosa said: Nko poa hbr ya wkend Click to expand... Njema sana nashukuru Mungu tupo
ABJ JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 4,922 Reaction score 13,817 Jul 14, 2018 #323,939 Goal Kick said: Mkuu ABJ Basi Hakuna Shda Mimi Nilijua Ni Kaskazini. Huku Kwetu Ni Salama Salimini Click to expand... Hayaa goli kiki mchana mwema
Goal Kick said: Mkuu ABJ Basi Hakuna Shda Mimi Nilijua Ni Kaskazini. Huku Kwetu Ni Salama Salimini Click to expand... Hayaa goli kiki mchana mwema
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 35,995 Reaction score 104,517 Jul 14, 2018 #323,940 Salam haitii mimba, nimepita kuwasalimu ndugu zangu.. Nimewamiss, nawapenda sana