Muziki wa Mdhamini: Mapumziko Kidogo Muhimu
...kama ilivyo ada, mapumziko yanahitajika sana na hata kama sio yale yaliyopo kisheria au kiutaratibu wakati mwingine ni vizuri kujipa personal space, unaamua kuwa mwenyewe kwa masaa machache, usitumie muda mwingi sana peke yako, kama hutoikaribia kamaba basi utajichua, ninasema tu wala sina nia ya kukufanya ufikirie sana.
Ni udhamini wake
Da'Vinci na anadedicate kwa watu wake wa nguvu
Shunie Sakayo ABJ na
husna muba