...ha hahahah ndo hivyo. Ila nina uhakika hao walionunua zamani hawakuinunua nchi ya kigeni nchini Kenya
Hahahah haya anko hujakosea hata ila na mimi nna swali dogo hivi huyo binamu wako ana pacha?...nilikuwa nakusalimia tu, sina jingine. au nimekosea kukusalimia na kuulizia habari za baada ya salamu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hiyo simu yako aina gani binamu mpaka mtumishi aitamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tecno Phantom 6 ni toleo jipya eenh binamu
Hahahah haya anko hujakosea hata ila na mimi nna swali dogo hivi huyo binamu wako ana pacha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zile ngao mdogo wanguHahahah haya anko hujakosea hata ila na mimi nna swali dogo hivi huyo binamu wako ana pacha?
Hahahah haya anko hujakosea hata ila na mimi nna swali dogo hivi huyo binamu wako ana pacha?
...pacha atoke wapi, yuko mwenyewe tu ndo maana ana kiburi na kama unaijua ile dawa ya mkojo wa punda basi ipo na ya kidonge. Ndo ile ile inabadilika muundo tu
Makapuku mpoo??
Njema sijui ya kwako dadaTupooo habari yako
Njema kaka angu karibu sanaNjema sijui ya kwako dada
Aksante sana Dada yanguNjema kaka angu karibu sana
Duuhh...Zile ngao mdogo wangu
Aiseeee....hatari sana...pacha atoke wapi, yuko mwenyewe tu ndo maana ana kiburi na kama unaijua ile dawa ya mkojo wa punda basi ipo na ya kidonge. Ndo ile ile inabadilika muundo tu
Afu wewe[emoji23]Hahhahah mjaze binamu
Aksante sana Dada yangu
Afu wewe[emoji23]
Karibu tupate dinner Dada.Sawa kaka