shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
HaaaahaaaaTuko wotee ...maraaa paaaaaap muhuniiii Ramos kesho anakweaa pipaa
HaaaahaaaaTuko wotee ...maraaa paaaaaap muhuniiii Ramos kesho anakweaa pipaa
Wahuni sana aiseeHawa warusi wahuni
Ila soka la sasa team zina pack bus sana kupata ushindi ujipange mnoSio mchezo, wanapishana tu
Kipa mzuri, kucheza penalty huwa ishu sanaIla de gea ameniangusha sana
Kwa Russia ilibidi tu,Ila soka la sasa team zina pack bus sana kupata ushindi ujipange mno
Bila kusahau mhindi anavyonyoosha watuIla soka la sasa team zina pack bus sana kupata ushindi ujipange mno
Ni kweli, ila naona hajaperform vizuri, toka mechi ya kwanzaKipa mzuri, kucheza penalty huwa ishu sana
Ndo hivoooo mkuuu mizigo ipo airpot kwa sasaHaaaahaaaa
Lakin kashemsha mechiii zote huyu kipaKipa mzuri, kucheza penalty huwa ishu sana
Kachemsha sanaLakin kashemsha mechiii zote huyu kipa
Kabisa nazani spain walitakiwa kuingiza mipira kwa fujo pale golin si kugongeana bila kufosiKwa Russia ilibidi tu,
Pasi mpaka kwenye kumi na naneKabisa nazani spain walitakiwa kuingiza mipira kwa fujo pale golin si kugongeana bila kufosi
Et wanatafuta njia na zimezibwa dawa ni klosi na mishuti mkiwa mmejinga vizuri nyumaPasi mpaka kwenye kumi na nane
Presha presha mwanzo mwisho mbona wangeelewa tuEt wanatafuta njia na zimezibwa dawa ni klosi na mishuti mkiwa mmejinga vizuri nyuma
Wamepata walicho taka ngoja tuone ijayoPresha presha mwanzo mwisho mbona wangeelewa tu
Niko hapa hivi kwa nn umenichuniaNioneee shunie
Wooooozeeeer yaan kule KT jamaniHome sweet home