[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpendwa unatangusha wapendwa wenzio
Ndo ujue sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wala sijui lolote, nimeshtushwa na Tumosa( mama wawili) kunambia mimi baba mchungaji
Mweka hazina itapendeza zaidi dear[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama mchungaji sakayo we sijui tukupe cheo gani kwenye kanisa letu humu
Asante mpendwa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu mpendwa
Sijui loloteKhaaaa kwahiyo unabisha
Ndio wewe ni Baba mchungaji na sakayo mama mchungajiWala sijui lolote, nimeshtushwa na Tumosa( mama wawili) kunambia mimi baba mchungaji
Ameni mpendwa[emoji524]TUOMBE
Mungu wetu na Bwana yetu Asante kwa Neema yako kutupa siku hii ya leo JUMAPILI TAREHE 10 JUNI 2018 Ni Furaha yetu kuona Unazidi kuachilia Neema yako ya Uzima. Tumenyenyekea mbele zako Mungu kuonesha utii wetu kwako. Tunaomba Baraka zako,futa majonzi,masikitiko kwa kila Moyo Iliyokata tamaa na kuachilia Furaha na Pendo litokalo kwako. Kutana na haja za mioyo yetu na kuzidi kutufundisha Kweli yako, Bariki kutoka na kuingia kwetu. Mikono yetu ikakuzalie matunda yadumuyo. Fungua Uchumi wetu,asiye na kazi apate kazi. Mungu wakumbuke wagonjwa na wengine wote wanaotafuta kukuona, wakutane na uso wako. Mioyo yetu ikutukuze wewe sasa na hata milele na ibada zote siku ya leo UONEKANE MFALME WA AMANI NA MFARIJI WETU MUNGU USIYESHINDWA WATANGULIE WATUMISHI WA MUNGU WOTE WATAKAOSIMAMA MADHABAHUNI POPOTE ROHO MTAKATIFU AWEPO AMINA.
SIKU NJEMA,JUMAPILI NJEMA,IBADA NJEMA[emoji1317]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Evanaaaeeee, duuuuhNdio wewe ni Baba mchungaji na sakayo mama mchungaji
Sawasawa mpendwaNiko na upako niache
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo ujue sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Muumini huyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maombi ya kufunga hufanyagi? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ebu nieleweshe basi ni milima ipi
Weeeh ushindwe chagua kingineMweka hazina itapendeza zaidi dear
Ndio umeshajua sasa kuwa wewe ni baba mchungajiSijui lolote
[emoji120][emoji120]Ameni mpendwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Basi niwe msaidizi wa mchungajiWeeeh ushindwe chagua kingine
Evanaaaeeee, duuuuh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo unamtaka ugomvi wa kunyumba mwenzioMweka hazina itapendeza zaidi dear