Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Young blood upo serious!?Natafuta mke wa mtu hapa.
Tatizo mimi nyota yangu inang'ara kwa wake za watu,nikitafuta wakwangu sipati.Kapuku changamkaaa......
Natamani hilo neno lisiwepo.Huwezi kuudhika kunishinda mimi
Hiyo hapa. Hairuhusiwi kabisa.
Niko serious mkuu,unataka unipe shemeji yanguYoung blood upo serious!?

Jichunge nduguNatafuta mke wa mtu hapa.
Ha haha, itabidi tu iruhusiwe.
Hahaha,mku yule wako mimi simgusi,napambana na ibra87Jichunge ndugu
UmoNa mi nimo
Karibu sana hujachelewa.Na mi nimo
Inabidi leo tufikishe 4k
Niletee sufuria kubwa (a.k.a Hando)unataka masufuria au makarai
Yumo
chukua hiyo