Anko aunt hajalala kweli?....ha hahaha, baby ni jina mnaitana mkiwa bar, aunt yangu she got ahead of herself akalihusianisha baby na mambo ya mapenzi kumbe ndugu kuitana baby ni kwa sababu mimi ni mtoto na yeye ni aunt yangu. Ujumbe wangu umefika nyumbani nadhani, utapunguza maswali sasa
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ngao ya majiNa leo wewe ni yupi eti
Obe naomba wimbo wa matonya... Anitaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yeye kama sisi tu ukimuuliza hapo atajifanya kukwambia mm siwajui anko zangu watoto wa dada angu kabisa
Kweliii kabisaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii itakuwa ngao ya maji
Kwendraaaaa uko naweza kujua tofauti gani mie sasa mbona nimeshindwa mpaka nauliza kila sikuHawawezi fanana kila ktu mke mweee lazima kuna tofauti na anaeweza igundua kirahisi ni ww hebu tusaidie[emoji23] [emoji23] [emoji23]
TaratibuuuuuuSasa na ww unashindwa kumgundua aliekuwa anakukula na mdogo wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Safari ya wap hyo[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwani kuna habari ganiiKwendraaaaa uko naweza kujua tofauti gani mie sasa mbona nimeshindwa mpaka nauliza kila siku
Nasukuma sukuma ili cku ziendeeee....nilirudi nyumbaaani tukaishi pamojaaaaObe naomba wimbo wa matonya... Anitaaaa
Habari iliyopo ni hivi mm kama shunie kiukweli mnanichanganya sijui ngao ya maji wala ya kidonge mnanivuruga tuKwani kuna habari ganii
Umejuajee na simu yake ninayo mimiNasukuma sukuma ili cku ziendeeee....nilirudi nyumbaaani tukaishi pamojaaaa
Leo wkend Obe ametekwa hawezi kuja hapa so kukusaidia nmekuanzishia kama vp endelea kuimba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngao ya maji
Hahahahahaha muulize anko binamuHabari iliyopo ni hivi mm kama shunie kiukweli mnanichanganya sijui ngao ya maji wala ya kidonge mnanivuruga tu
Ngoja nimuwekee kama binamu hawekiNasukuma sukuma ili cku ziendeeee....nilirudi nyumbaaani tukaishi pamojaaaa
Leo wkend Obe ametekwa hawezi kuja hapa so kukusaidia nmekuanzishia kama vp endelea kuimba
Hata sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaanguka mfyuuuuuuu unaenda wapi