Basi sawa ili mradi isiwe avatar ya ke kwenye profile yanguhii usiwe na shaka. hii ishuya avater yako kuiona kwa mwingine ni hali ya kawaida tuu. hata mimi kuna siku ilishawahi kunitokea.
NAZANI NI MATATIZO YA NETWORK. TUU
Kabisa kabisaAione!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi sawa ili mradi isiwe avatar ya ke kwenye profile yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi sawa ili mradi isiwe avatar ya ke kwenye profile yangu
Hahahaaa!Kabisa kabisa
Abiria chunga mzigo wako
miss lizzie,Asante!
Mmmh!miss lizzie,
if you dont mind,
nataka tufahamiane zaidi tafadhali
lizzieMmmh!
Ohoo mkuu hausubiri hata giza liingielizzie
naelewa ni mapema sana kukutamkia kuwa 'NAKUPENDA'
but please understand me, niko njiani kuelekea huko..
Mmh babyMmmh!
haha.. mkuu bora tufanye mapema jua likiwa linawaka. teh.. usiku una mengiOhoo mkuu hausubiri hata giza liingie
Balaa limetuvamiaMmh baby
Dooohlizzie
naelewa ni mapema sana kukutamkia kuwa 'NAKUPENDA'
but please understand me, niko njiani kuelekea huko..
Mizigo mingine inawekwa kwenye butiKabisa kabisa
Abiria chunga mzigo wako
Ha...nimevutiwa sana na uandishi wako na namna unavotoa mawazo yako.... i wanna make you my partner
Sawa babe!Dada nimeona aisee. Nalinda mke wangu naona kuna MTU simuelewi
Tayari Achana nae huyo
Lizie nataka nikuone hapo, old is gud vs kipya kinyemiBalaa limetuvamia
Th Name ni asali ya moyo wangu. Hamna anaeweza kutuachanisha.Lizie nataka nikuone hapo, old is gud vs kipya kinyemi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ukikutana na mvua imenyesha sasaMizigo mingine inawekwa kwenye buti