[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
MwenyeweMfyuuuuuuuu
Salama za wwMama JJ za jioni
Shangaa na ww baba wawiliDuh ni wewe kweli, au kuna mtu kavamia account yako
Unaona lakin vita unayopigwaNipo nimejaa tele
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Asante binamu barikiwaTafasiri Unavyoweza: Jenga Bahari Kwenye Mto
Wengi wetu tunaijua bahari kwa namna tofauti, kwa kuiona au kuisikia. Vyovyote vile, bahari inabaki kuwa ni umbo kubwa ambalo ukomo wake hauelezeki kwa maneno ukatosha. Usemi kuwa bahari haina mwisho unaelezea ukubwa na kina cha bahari ambayo inabeba meli, ngalawa, mashua, manowali na taja chochote kinachosafiri majini. Bahari hupwa na kujaa. Bahari ni kubwa tofauti na mto ambao huwa ni mdogo na maji yake yanatembea, hayajatuama kama maji ya ziwani. Inawezekana hujaelewa nataka kuwasilisha nini jioni hii lakini unaruhusiwa kutafasiri unavyoweza.
Katika maisha wengi wetu tumekuwa tukiota ndoto kubwa, tunawaza makubwa tuyapate (dream big) na tunasahau kabisa kuwa makubwa mengi tunayowaza hatuko nayo karibu, yako mbali. Bahati mbaya sana wakati tunawaza na kuota makubwa, tunashindwa kuheshimu ndoto ndogo tulizoshikilia mkononi. Na kutokana kuwaza makubwa tusiyoweza kufikia basi tunajikuta tunaendekeza njia za mikato na kujiingiza kwenye rushwa na kharam nyingine nyingi.
Kwa taarifa yako tu, maji ya mto hayatuami, hutembea muda wote na kumwaga maji yake baharini, ukubwa wa bahari usikufanye ukadharau umuhimu wa mto. Shikilia kidogo ulichonacho, kifanyie kazi kiusahihi na kitakupa mambo makubwa. Tafasiri Unavyoweza
Tafasiri Unavyoweza: Jenga Bahari Kwenye Mto

Asante binamu barikiwa
katika ubora wako kapuku mwenzangu
Umeona eeeeh..nawe pia mama JJ, naona tabasamu kuuubwa sana usoni kwako
Wacha unoko shululu... Nenda kamueleze Tumosa ulipotelea wapi? [emoji16][emoji16][emoji16]Hivi amepinda ehee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nipo nimejaa tele
Naanzaje kutuma mahela kwa Sakayo wakati muhusika ni wewe Jamani?Khaaaaaa ebu tuna mahela kwanza kwa sakayo tujue mahela yapo
Ewaaaaaaa..... Your lough speaks volumes!!!! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan cjui alikuwa wap?Wacha unoko shululu... Nenda kamueleze Tumosa ulipotelea wapi? [emoji16][emoji16][emoji16]
Niko poa shemela habari ya wwUko poa lakini shemela
Shem wangu jamani za kupotea nani kakutekaππππ΅
Team ipii tena shemelaVip shemela, na wewe unachezea hiyo timu