Makapuku Forum

Muziki: Jumatano Kuelekea Ramadhan

Ninakusalimia Kapuku mwenzangu na kukupongeza kwa kuweza kuchukua muda wako kupumzika hapa. Ujue nini, bila wewe Tumosa , Shunie , Transcend , shululu , BlessedHope , Lyon Lee , Nyagei , Da'Vinci , omarion5 , Clkey , ABJ , Mndali ndanyelakakomu , mzeewakungoa , Sakayo , Mkushi wa kusi , dumejeuri EMMYGUY , sab , hekimatele , hearly , sweetlee, SHIMBA YA BUYENZE , Bitoz , na wewe unayenisoma sasa, jukwaa hili lingekuwa ni la kawaida tu. Uwepo wako unalifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kuwepo.

Asante Shunie kwa magazeti, ilikuwa siku nzuri kuamka na kusoma magazeti hapa.

Muziki sasa, siandiki mengi leo maana niko kwenye maandalizi ya kuianza Ramadhan na wakati wengine wanafunga, mimi nafungulia.

 
asante mkuu"" Niko hapa " napata buridika na muziki mwanana toka " kwako "
 
Hata mm ninawatakia funga njema waislamu wote binamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…