[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Heineken 3 kwa buku binamu hapana aiseeeha hahaha, kwani bia za promosheni ni Balimi tu, acha hizo, kuna siku pale Kigamboni ferry mbona walikuwa wanauza Heineken na Windhoek beer tatu kwa buku, ila zilikuwa zimekaribia kuexpire ha hahahha
Sasa huyo ni naniShusho anaimba ni kwa neema tu
Hata sikumbukiKhaaaaaa
Nimechochea nini mimi
Hahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] itakuwa kwangu sijaona pm
Sana Obe..... kitambo kidogo sijakuwepo Kwema?
Cjui jamani ngoja Mbaliz ajeSasa huyo ni nani
Korosho za kuchorwa mpaka mwaka wa pili unaingia sijaletewa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata sikumbuki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu huko container ni wapi wote tunapajua...kwema sana, niko tu hapa container naangalia shoo huku naangusha moja moja , si unajua tarehe za msharaha hizi. Nasubiri shoo ya taarabu nione wacheza shoo mabonge ndo wanaonifa nije hapa kila tarehe za mshahara
Mh binamu ni kweli ya kokoto ufuta siupendi binamu...lol! Korosho hukusikia ile skendo, walikuwa wanaziwekea kokoto, sasa aunt yangu utoke meno kisa korosho si bora ule ufuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Heineken 3 kwa huku binamu hapana aiseee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...lol! Korosho hukusikia ile skendo, walikuwa wanaziwekea kokoto, sasa aunt yangu utoke meno kisa korosho si bora ule ufuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu huko container ni wapi wote tunapajua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]...seriously, ila zilikuwa zinaexpire ndani ya siku mbili. Yaani nilinunua 15 kuwakomesha nikanywa kukimbizana na tarehe ya kuharibika
[emoji23][emoji23][emoji23]Mabonge afu wafupi sio...kwema sana, niko tu hapa container naangalia shoo huku naangusha moja moja , si unajua tarehe za msharaha hizi. Nasubiri shoo ya taarabu nione wacheza shoo mabonge ndo wanaonifa nije hapa kila tarehe za mshahara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona binamu...seriously, ila zilikuwa zinaexpire ndani ya siku mbili. Yaani nilinunua 15 kuwakomesha nikanywa kukimbizana na tarehe ya kuharibika
Shunie unapajua au [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] binamu huko container ni wapi wote tunapajua
Sasa useme hivyo nipo mtwara container saba saba mm ukisema container najua upo ya mbuyuni osterbay au mwingine atajua container kibaha...ni hapa Mtwara, mitaa ya Sabasaba