Aziz Ki Mayele
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 899
- 1,955
Duuh mkuu sizzya kwa nadra sana naonaNani yupo humu
Duuh mkuu sizzya kwa nadra sana naonaNani yupo humu
Aaaah mama mwenye mji, no wonderMi nipo pia
Mie pia nipoNani yupo humu
Niko doriaAaaah mama mwenye mji, no wonder
Duuh mkuu sizzya kwa nadra sana naona
Hahaaa ulinzi unaimarishwaNiko doria
Kweli kweli pamoja mkuuKaka tuko pamojaaaa
Haahahahaaa mama mwenye mji hataki mapenzi mkuu, yeye kwake ni usalama wa mji ndicho cha kwanzaNililambwa kibuti live live na jimena humu ikabidi nikimbie😀😀
Niko doria
Haahahahaaa mama mwenye mji hataki mapenzi mkuu, yeye kwake ni usalama wa mji ndicho cha kwanza
Uko na mie mkuu, na in charge chief JimenaAskari wa zamu leo tuko mie na nani?
Kabisaaa...i missed u people asee! Youngblood kashapata ubavu wake?!
Youngblood anaugulia maumivu tuu, vibuti vimemuandamaMi sijawahi kushabikia timu za kibwegeMkuu au una maumivu ya kupigwa na Mwadui
Ooohoo uyo Msaidizi wa jery muro kama hujuiMkuu au una maumivu ya kupigwa na Mwadui
She is loughing with you, i guessAre u laughing with me or laughing at me😱😱😱