Hii avatar huwa inanitisha mimi rudisha zile za kitozi jamanWewe Shunie sasa utakuwa na matatizo,
Kila kitu ninachofanya mimi kinakuboa tu.
Leo hii Avatar yangu huitaki tena jamani ?? Teh teh teh!
Mbona sina Avatar za kitozi mimi,Hii avatar huwa inanitisha mimi rudisha zile za kitozi jaman
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] zile zile za viatu mara jeans na raba daaahMbona sina Avatar za kitozi mimi,
Au zile ambazo ulisema mimi nakataa kuzeeka ???
Hahahahaha,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] zile zile za viatu mara jeans na raba daaah
Ahahaha lakini ndio swagger ninazozipendaHahahahaha,
Zile hata wewe ulinisema mimi ni mzee ninayechukia uzee.
Anhaaa, ngoja siku nitakauzima basi...Ahahaha lakini ndio swagger ninazozipenda
Marhabaa shemela, vip hali!?Shikamoo shemela
Wazima tu kiongoziJamani wazima nyie ??
Shunie hajawahi kueleweka..Hahahahaha,
Zile hata wewe ulinisema mimi ni mzee ninayechukia uzee.
Uniazime tena me nataka uweke kwakoAnhaaa, ngoja siku nitakauzima basi...
Ahahha acha kunipa ubayaShunie hajawahi kueleweka..
Wacha nikupe tu, maana shunie wenyewe nakujua mimi.Ahahha acha kunipa ubaya
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wacha nikupe tu, maana shunie wenyewe nakujua mimi.
Haha,Shunie hajawahi kueleweka..
Mimi huwezi kuniona nimevaa tena.Uniazime tena me nataka uweke kwako
SalamaSalama kabisa ndugu yangu,
Habari za mapumziko aisee!
Poa hbr ya kuadimikaMarhabaa shemela, vip hali!?
Mmh usinifanyie hivyo mimiMimi huwezi kuniona nimevaa tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Salama wa salmin shemeji, sijui wewe shemela.Poa hbr ya kuadimika
Hakuna namna tena ndugu yangu.Mmh usinifanyie hivyo mimi