Makapuku Forum

Yoshua 1:5 unasema Hakuna mtu yeyote atakayewe kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyokuwa na pamoja na Musa ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe sitakupungukia wala sitakuacha, Mimi na familia yangu nakutakia mwaka mpya wenye mafanikio
 
Hahahaha Obe[emoji144] [emoji144] UBARIKIWE SANA..JUU YANGU NI VIGUMU..LABDA HIYO STYLE NYINGINE...NAKUPENDA MUNGU AKUBARIKI[emoji120] AMANI ITAWALE DAIMA..HERI YA MWAKA MPYA [emoji120]
 
[emoji120][emoji120] asante mama na kwako pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…