Makapuku Forum

Muziki: Mdhamini Mnywa Soda

...ujue nini mdau, kila mtu na mtazamo wake na ninaweza kuwa mwathirika wa mazingira na sasa naishi kwa matumaini. Utaelewa tu sio unarukia mambo, do not get ahead of myself, sijamaliza. hebu mwangalie pedeshee mopao Makaveli 10, huyu ni mdhamini wa kweli maana angonga vyombo sasa leo mdhamini mpya kaingia nyumbani. Naye si mwingine bali Gentries mzee wa kunywa soda na shurubati, anadedicate wimbo huu kwa wake anayempenda Evelyn Salt
Tuburudike pamoja nao ila kumbukeni hapa ni mwendo wa soda tu hata maongezi yatachukua muda sana kunoga, mimi ngoja nikatafute kinywaji kilichowekewa sheria

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…