makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,443
- 108,486
Mungu na miungu ni imani ya mtu dada yangu, naweza nikaandika MUNGU lakin still mtu akamaanisha MUNGU anaemjua yeye.. so haya ni mambo ya kiimani zaidi kuliko kuonesha ndugu yangu mprndwa, muhimu ni nia yako moyoni juu ya yule unaemmanisha na kuamin ndio..Hata kwenye biblia wametifautisha wanapoandika khs Mungu na miungu
Hbd kwake.. kijana mtukutu.
Hbd kwake.. kijana mtukutu.
Nawe pia[emoji106] [emoji106]Asubuhi njema wapendwa
Habari zenu
Kwemaa mkuuHabari zenu
Ushafikaa??Safi mkuu
Ushafikaa??
Ubarikiwe[emoji120]Mungu na miungu ni imani ya mtu dada yangu, naweza nikaandika MUNGU lakin still mtu akamaanisha MUNGU anaemjua yeye.. so haya ni mambo ya kiimani zaidi kuliko kuonesha ndugu yangu mprndwa, muhimu ni nia yako moyoni juu ya yule unaemmanisha na kuamin ndio..
Njema za uzima karibu ,ubarikiwe sanaHabari zenu
Baraka ziwe juu yetu sote BHUbarikiwe[emoji120]
UkuKufika wap tena mzee
Duh!! Kijana katekwa tena!! Watoto wa siku hizi nux.Katekwa na linamo hatokii..
Inakuwaje!?Haloo guyz
[emoji85] [emoji85]Jirani shululu na shemela tumosa, vipi alarm imewashtua nin au ndio mmemaliza kuibariki siku na kwichi kwichi ya asubuhi..[emoji23] [emoji23]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji7]Sawa shemeji, kila la kheri kwenye mambo yako shem lake.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji8] [emoji8] [emoji7]Marahaba mpendwa mwanangu mpenzi Ubarikiwe my Love[emoji173]