Makapuku Forum

Wakutambulishwa naniiiiii
 
Wakutambulishwa naniiiiii

...anko wangu si alitambulishwa na yule mume wa mjumbe mnapoishi. Sema wewe hukuhudhuria vikao vya nzengo/mtaa. kwani anko Lyon Lee hakukwambia? Kikao kiliisha maana anko alienda akamrukia yale mateke ya kwenye video, basi wakaanza kupigana pale ila wenye macho tukajua mmoja anagombea mke, mwingine anagombea mchepuko. Baadaye anko akashindwa akalipishwa hela za usumbufu
 
Ndio nini binamu unazungumzia jaman nimeshakwambia sitaki kusikia habari yeyote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…