Shem nisamehe tu ila shemela shululu ananitafuta niongee yasiyoongelewa kila siku me na baba d eti bongo movie ananichosha ila nitamuita tu aje kula cinema ya bure ili aamini
Huhitaji nguv kubwa sana kutuaminisha, hata tukikataa ukweli uko pale pale n tukikubali ukweli uko pale pale.. cha msingi ujue tupo makundi mawili, tusioamin na tunaoamin.