[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Natamba ×3
kilichonishawishi ni upole wako na heshima yako wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako sura yangu ya upole shunie mimi [emoji4][emoji4] imemvutia baba d wangu shape twiga mwenda pole anajivunia lee empire [emoji7][emoji8] tupeane mapenzi iwachome na kama no waisome hata tukigombana wasione washike jembe wakalime mapenzi mazuri wakikutana wawili wanaopendana [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] tusizidishe washauri watasababisha tugombane [emoji12]
Woooooooozaaaaaaaaaaaa
Binamu yangu obe kipenzi najua mambo hizi zangu na mjomba ako hutaki kabisa kusikia naomba niweke mie nyimbo ya natamba ya aslay niendelee kumtambia mjomba hata kama umeshaweka nyimbo naomba uniwekee kama hauna bundle nikutumie na ole wako usiweke nakushtaki
Tofaut na geisha nn kingine kilee etiiiNa kwako pia maka kumbatia mto na msalimie geisha
Shemela wangu shikamoo naona meno yote nje[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hii itakuwa Heineken tuBinamu obe narudia ole wako usiweke hiyo nyimbo hata kama nimelala niwekee
Bora wewe umelionaHii itakuwa Heineken tu
Nawe pia jiraniUsiku mwema bandugu zangu..
MhNa kwako pia maka kumbatia mto na msalimie geisha
Umekuja kwa fujo shemelaShemela wangu shikamoo naona meno yote nje
Namjua sana shemela wangu huyuBora wewe umeliona
Binamu obe narudia ole wako usiweke hiyo nyimbo hata kama nimelala niwekee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sabuni ya magadiTofaut na geisha nn kingine kilee etiii
Hapana jaman [emoji134] [emoji134] hiyo kitu sijanywa mda ujue mpaka taste yake nimeisahauHii itakuwa Heineken tu
Jaman shem [emoji134] [emoji134] kweli ujueBora wewe umeliona
Ujue shemela wangu sisi ni watu wazimaHapana jaman [emoji134] [emoji134] hiyo kitu sijanywa mda ujue mpaka taste yake nimeisahau
Veep maka si hana mke atakumbatia ninii sasa
Kwakweli shemela kule kuact ulivyoniambia niwe mpole shunie mm siwezi jamaan [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] yaan nitajidanganyaUmekuja kwa fujo shemela
[emoji122] [emoji122] [emoji7] [emoji7] asante binamu unajua venye tunakupenda na anko wako....ukiwa umelala nikakuwekea, utafurahia kweli, haya mambo yanahitaji ushirikiano bhana.
Anyway kwa kuwa wewe ni aunty yangu sina usemi kwangu nitakuwekea wimbo unaoutaka
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwakweli shemela kule kuact ulivyoniambia niwe mpole shunie mm siwezi jamaan [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] yaan nitajidanganya