Makapuku Forum

Asante anko
 
Asante kwa neno, mama mchungaji


Ubarikiwe sana
 
Natamba ×3
kilichonishawishi ni upole wako na heshima yako wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia yako sura yangu ya upole shunie mimi
imemvutia baba d wangu shape twiga mwenda pole anajivunia lee empire
tupeane mapenzi iwachome na kama no waisome hata tukigombana wasione washike jembe wakalime mapenzi mazuri wakikutana wawili wanaopendana
tusizidishe washauri watasababisha tugombane


Woooooooozaaaaaaaaaaaa
Binamu yangu obe kipenzi najua mambo hizi zangu na mjomba ako hutaki kabisa kusikia naomba niweke mie nyimbo ya natamba ya aslay niendelee kumtambia mjomba hata kama umeshaweka nyimbo naomba uniwekee kama hauna bundle nikutumie na ole wako usiweke nakushtaki
 
Mmmmmmh uko vizurii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…