Makapuku Forum

Shalloooom
Shalloooom

Neno LA Jioni
Furahini katika Bwana sikuzote; tena nasema, Furahini.

Rejoice in the Lord always and again I say, Rejoice.

Wafilipi 4:4
Hata kama unapitia magumu kiasi gani we furahi tuu maana ukifurahi unamwonyesha shetani kuwa jaribu alilolileta nalo si kitu kwako..
Ni kama Unakunywa tuu
‍♀
‍♀

Usionyeshe huzuni yako !mbele ya maadui zako tena ukiwaona ongeza kicheko ili wakaaibike wenyewe
Kwa jina LA YESU KRISTO Uwe hodari
 
Ameni asante kwa neno la faraja kwetu mama
 
Ameen mama yangu
umenigusa sana na neno la leo barikiwa mama nakupenda mimi
 
Unajua husna kipindiii hicho tunalianzisha ilikiw nia hatar watu walikuw wanaleta mada kibao saiviiii hakun unakuta mtu anamwita MTU baby hakuna cha maaaan wanachoonhea hakun kabisa
Na we tafuta baby pia hujakatazwa na kuliamsha humu kila siku watu wanaliamsha mambo ni yale yale tu hakijabarika kitu kapuku kama bus tu ukishuka wengine wanapanda
 
Asante mama mchuchu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…