Makapuku Forum

Katika watu wanonifaham vyema wee mmoja wapo shunie, sina hata haja ya kuongea mpaka mshipa wa shingo utoke..

Sitak mambo ya bongo movie..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bongo za humu si mchezo ndio mana hutaki shida mnatamanishana tu jukwaani acha tu me baba d wangu tuendelee kuchunguliana na kulana aisee bongo movie tuwaachie wenyewe na usanii wao raha ya kuitana babe, bae, my love, mkulane buana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

We ni mchokodhi wewe..[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Aheri hata nirud utotoni nikacheze kibaba baba na kimama mama!!
 
Ila raha mukunjane kweli.. sio mahaba mnayamaliza kwa maneno, wakati mahaba mwenzake vitendo.

Kwichi kwichi.. [emoji85] [emoji85]
Wooooooooozaaaaaaaa habari ndio hiyo maka ujue mkunjane haswaaaa woiiiii bongo movie kwangu na kwa baba d ilikua mwanzoni mwezi mmoja tu ule tumetaniana mara paaaap kitu na box live long kapuku kwa kuniletea baba d kwangu jamaan
 


...leo kuna Futuhi, hivi Futuhi nayo ni bongo movie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…