Makapuku Forum

Wewe shunie wangu anakuhusu nini ....kumpenda si umemkosa moneytalk na bikira lakee
Duh.. mwanangu una nongwa mtoto wa mganga akasome..


Sasa aliyekwambia mim nataka bikra nani..
Nshakwambia mimi sipo kwenye amature nacheza legendary level..


Huyo mtoto bikra gani anayo labda ya sikio, katoto kanajua kuchagua mpaka mwenye mwanya..


Wacha nihangaike na migume gume
 
Haya ndo wanayaita maneno ya mkosajii au nakosea


Tetra ashakua shem....na utampa likes huna namna
 
Hili litoto lilitukataa na kuanza kutunzwa na limazataiipuuuu ....tatzo lihuniii kama babu yake
Safi.. nyie ndio wazaz wabov nyie, sasa ulitaka afanyaje, atafunwe yeye, anatafuna lakin unakereka angekuwa anatafunwa yeye jee..

Safi sana chukua
dogo janja, we waweke tuu, kata mbuno uwezavyo.

Kama karithi poa, vya kurithi hupitiliza.


Huyu anaweza akawa mjukuu wangu mimi au babu yetu ni mmoja
 
Mkuu unaongea na nani

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…