Kuna cku nusu nmepeleke binamu kwa mjumbe kwa sanabu niliona unalialia tu alipokuambia hbr za maharamiaLiniiii jaman ndio unikumbushe mke mwee ila me sikumbuki kwakweli
..galaxy itoke wapi mama, mwenyewe natumia Singsung Itel7 toleo la Korea kaskazini. Nitaiwezea wapi Galaxy
Umeamini sasaHuhuhuuu,sawa
Kuna cku nusu nmepeleke binamu kwa mjumbe kwa sanabu niliona unalialia tu alipokuambia hbr za maharamia
Muosha, huoshwa..
Ikifika zamu yako, utulie watu wakutatue marinda
....sema polepole, tumeahidiwa sare!Safari hii ukiahirisha safari naenda kukojoa pale kwenye geti la Ikulu
KdgoUmeamini sasa
Sawa nitajua ukweliSijakariri tuna mji pale
Endelea kugeuka mke mwee ipo siku yako ukiletewa habari za shangaaa 1500 za shemela shululu me nakucheka kwa dharau tuuu
Leo c jeuri umemshika Obe pabaya ngoja cku ykohiviii naanzaje kulia mie
Binamu yangu kipenzi upande baba yangu mie naomba uniwekee nyimbo ya jux utaniua imfikie utamu wangu mimi kiboko yangu mimi baba d wa shunie tuuuu lee wa mimi apaniko nalala naomba hiyo nyimbo binamu hata kama nimelala kesho niikute umeniwekea
...acha tu binamu, yaani imebidi nivae kabisa na nimechomekea vizuri kujieleza kwa mahabuba, laaziz wangu Husna na nimejipulizia pafyumu ya gift of zanzibar ili maelezo yangu yanukie fresh
Pole binamu jitahidi kujieleza c unajua tumeahidiwa sare acjeakaahirisha hachelewi huyo