Ebu msaidieni mwanaume mwenzenu shedede analialia huko toka 2012 hana mwanamke hajapata wa kumpenda ebu mwambieni wapiii anakosea Sijapata wa kunipenda, hili gundu au?