Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Kinesi kufanya nini tena shemelaNa kinesi hapaendeki shemela
Kinesi kufanya nini tena shemelaNa kinesi hapaendeki shemela
Niko poaMorning too mzeewakungoa
Uko poa lakini
Barikiwa pia mama mtumishiKweli jeuri humpumbaza mwenye hekima na rushwa huuharibu ufahamu
Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi
Usifanye haraka kukasirika mana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu
MITHALI 7:7-9
MUWE NA JUMAPILI NJEMA JAMANI MBARIKIWE SANA![]()
![]()
HalleeluuuyaaaaYeye aliye ifanya dunia na kutupa uhai, aifanye siku ya leo iwe njema kwako..
Barikiwa sana TetraBarikiwa pia mama mtumishi
Dada kutoka sio lazima ukaenda sehemu za starehe unaweza kwenda kutembelea ndugu na jamaaKaka akee me mtu wa kutulia tu nyumbani na hizo mambo za kutoka week end tofauti jaman sijui ndio uhenga yaan hata sijui
Nipo home kaka sitokiiiDada kutoka sio lazima ukaenda sehemu za starehe unaweza kwenda kutembelea ndugu na jamaa
Sawa dada ila nenda ukatembelee hata wazee walio karibu yakoNipo home kaka sitokiii
Kaka jaman leo sijisikiiiSawa dada ila nenda ukatembelee hata wazee walio karibu yako



Sawa dada maana isije kuonekana nakulazimisha utoke wakati ratiba zako haziruhusuKaka jaman leo sijisikiii![]()
Ewaaaaaa yaan kama unanilazimisha asante kaka kwa kunielewaSawa dada maana isije kuonekana nakulazimisha utoke wakati ratiba zako haziruhusu
SanteeBarikiwa sana Tetra
Barikiwa sana Tetra

Pamoja dada kuna watu sijawaona toka janaEwaaaaaa yaan kama unanilazimisha asante kaka kwa kunielewa
Wapo busy kaka wakiwa free wataonekana tuPamoja dada kuna watu sijawaona toka jana
Sawa dada wakirudi uwasalimie sanaWapo busy kaka wakiwa free wataonekana tu
Si watakukuta kaka jamaan au utakuwa umeshatokaSawa dada wakirudi uwasalimie sana
Wanaweza wakawa wanafika mi nimeondoka maana kijijini kunanifanya niwe bize sanaSi watakukuta kaka jamaan au utakuwa umeshatoka
Huwa unapumzika wakti ganiWanaweza wakawa wanafika mi nimeondoka maana kijijini kunanifanya niwe bize sana