Hahahahaaaaaaaaaa, tangu KF ianzishwe sijapata kuona MNAA kama wewe..!!
Roho kwenda kasiHabari njema ipiii ya kupenda kopa na macho mawili au
Ameni dada za majukumuPole kaka akee kikubwa uzima
Hahahaha, duh. mi sina hata ujirani nae salamu zako zinafikaje sasa??...lol! Nilikuwa sijamsalimia mjomba wangu, maana tangu wiki hii yote hatujaonana nikaona nitumie kukuquote ili salamu zangu zifike haraka
Ha hahahahahaha, wikiend nzuri sana hii
Nimeona binamu na ile uliyonitumia sema sijaielewa ujue kabisa..asante sana mdau, naamini aunty yangu atafurahi maana sasa hivi atafute tu kisingizio kingine
Baba D wangu ananiamini binamu ujue...lol! Nilikuwa sijamsalimia mjomba wangu, maana tangu wiki hii yote hatujaonana nikaona nitumie kukuquote ili salamu zangu zifike haraka
Ha hahahahahaha, wikiend nzuri sana hii
Ndio mana nikakupa pole usife kabisaRoho kwenda kasi
Safi kaka akee Mungu anasaidiaAmeni dada za majukumu
Amen[emoji524] Kwa kuwa Bwana huwapa watu hekima kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu
Huwawekea wanyofu akiba ya hekima kamili yeye ni ngao kwao waendao kwa ukamilifu [emoji524]
MITHALI 2:6-7
MUWE NA USIKU MWEMA JAMANI DAMU YA YESU IZIDI KUWALINDA [emoji7] [emoji120]
Baba D wangu ananiamini binamu ujue
Ndo Tanzania iliyo tokea sio tuitakayoNzuri kabisa shemeji, ila watu wanaumizwa sana aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan binamu we unang'ata na kupuliza jamaan..mimi nimesema hakuamini kwani? Najua anakuamini sana ndo maana hasikii wala haoni yaani anakupenda kichizi-chizi sana
AmenSafi kaka akee Mungu anasaidia
Hahaha, we jidai hunielewi tuNdio mana nikakupa pole usife kabisa
Morning too mzeewakungoa