Mi sijui na nikimuuliza maana yake huwa anakwepakwepa tuWewe hufahamu
Obe we miss youMuziki Jumamosi: A very Long Wikend
U khali gani Kapuku mheshimika, jana ilikuwa mapumziko na sihitaji kukukumbusha kuwa leo na kesho ni mapumziko kwa weng na bahati nzuri mapumziko haya yamenigusa na mimi.
Asante kwa kuwepo hapa, asante kwa shululu kutuletea magazeti, lee empire mjomba wangu umeanza kwenda gym huku ukiwa na mpango wa kuongeza banda la chipsi na bia, hongera sana. Asante Shunie kwa nukuu ya Bible, kipenzi changu husna muba ujue wewe ndo chaguo langu la kwanza, la pili , la tatu, hakuna cha chaguo la nne nimwachia mzee wenger wa Arsenne. asante Tumosa , dingimtoto , dumejeuri muosha rungu , Clkey , Mondray , mtaasisi Nyagei , siwezi kukusahau mzee wa 'busara' mzeewakungoa , Tetramelyz . Ninyi mnalifanya jukwaa hili kuwa bora kabisa.
Msiseme nimewasahau Sakayo , Bitoz , Jimena , Bailly5 , Madame S , demi , koncho77 , Rogie , BlessedHope , nawakumbuka sana.
Muziki sasa, kuna muziki unausikiliza na sio siri unapaswa kuusikiliza kiumakini maana ujumbe uliopo ndani unakufanya uione wikend yako kuwa ni ya kipekee kwa sababu tu wewe ni mtu spesho
Kicheko hichoHicho ni kicheko au tabasamu
Naona raia wanalitumiaMi sijui na nikimuuliza maana yake huwa anakwepakwepa tu
Obe we miss you
Mi sijui na nikimuuliza maana yake huwa anakwepakwepa tu
Waoooo asante sana limupenzi langu mimi hilooooMuziki Jumamosi: A very Long Wikend
U khali gani Kapuku mheshimika, jana ilikuwa mapumziko na sihitaji kukukumbusha kuwa leo na kesho ni mapumziko kwa weng na bahati nzuri mapumziko haya yamenigusa na mimi.
Asante kwa kuwepo hapa, asante kwa shululu kutuletea magazeti, lee empire mjomba wangu umeanza kwenda gym huku ukiwa na mpango wa kuongeza banda la chipsi na bia, hongera sana. Asante Shunie kwa nukuu ya Bible, kipenzi changu husna muba ujue wewe ndo chaguo langu la kwanza, la pili , la tatu, hakuna cha chaguo la nne nimwachia mzee wenger wa Arsenne. asante Tumosa , dingimtoto , dumejeuri muosha rungu , Clkey , Mondray , mtaasisi Nyagei , siwezi kukusahau mzee wa 'busara' mzeewakungoa , Tetramelyz . Ninyi mnalifanya jukwaa hili kuwa bora kabisa.
Msiseme nimewasahau Sakayo , Bitoz , Jimena , Bailly5 , Madame S , demi , koncho77 , Rogie , BlessedHope , nawakumbuka sana.
Muziki sasa, kuna muziki unausikiliza na sio siri unapaswa kuusikiliza kiumakini maana ujumbe uliopo ndani unakufanya uione wikend yako kuwa ni ya kipekee kwa sababu tu wewe ni mtu spesho
Shemela shululu njo umchukue ndg yako tetra jamaan me simuelewi kabisaHAhaha, hivi unajua kama vile viemoj..........
Ah au tuyaache tu
Hawajambo jamani,karibu tenai miss you too good people! Ulikuwepo wapi maana tayari nimesharudi kikamilifu!
Kina JJ hawajambo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha tu shululu, majungu ya hapo, hadi mimi nimekimbia
Binamu asanteeeMuziki Jumamosi: A very Long Wikend
U khali gani Kapuku mheshimika, jana ilikuwa mapumziko na sihitaji kukukumbusha kuwa leo na kesho ni mapumziko kwa weng na bahati nzuri mapumziko haya yamenigusa na mimi.
Asante kwa kuwepo hapa, asante kwa shululu kutuletea magazeti, lee empire mjomba wangu umeanza kwenda gym huku ukiwa na mpango wa kuongeza banda la chipsi na bia, hongera sana. Asante Shunie kwa nukuu ya Bible, kipenzi changu husna muba ujue wewe ndo chaguo langu la kwanza, la pili , la tatu, hakuna cha chaguo la nne nimwachia mzee wenger wa Arsenne. asante Tumosa , dingimtoto , dumejeuri muosha rungu , Clkey , Mondray , mtaasisi Nyagei , siwezi kukusahau mzee wa 'busara' mzeewakungoa , Tetramelyz . Ninyi mnalifanya jukwaa hili kuwa bora kabisa.
Msiseme nimewasahau Sakayo , Bitoz , Jimena , Bailly5 , Madame S , demi , koncho77 , Rogie , BlessedHope , nawakumbuka sana.
Muziki sasa, kuna muziki unausikiliza na sio siri unapaswa kuusikiliza kiumakini maana ujumbe uliopo ndani unakufanya uione wikend yako kuwa ni ya kipekee kwa sababu tu wewe ni mtu spesho
HaipooHivi ile GERMANY MACHINE imeishia wapi?!
Mbona hajiiiiBinamu obe popote ulipo unasalimiwa sanaaaaaa na mama mchuchu anasema kakumiss sana
Hivi ile GERMANY MACHINE imeishia wapi?!
Ninayo Mimi [emoji4]Cc Lee Empire
Hata mi nalitumia ingawa sijui maana yakeNaona raia wanalitumia
TakiiiiiiiChagua LA " shubamiti"[emoji1]
Uchungu wa mumeeeeLazima kumsaidia mume bibi we
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kirahisirahisi tu aleft