Makapuku Forum

...nilisikia tu jina lako likitajwa na maneno kuhusu wewe, sema nilivaa helmet sikujua nani kaongea. ila utamjua tu muda si mrefu. Atakayekuja kunitolea povu ndo yeye
Watu wabaya na walikuwa wanamshauriii husna etiii puchu sijuii puchuuu awapee wanaumaa ...nimegombana ila na yeye akawa haelewekii kama mvua za dar...

Etiii puchu ni nin si unajuaa anko wako wa 70
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…