Duh! Story ya huyu princess Diana iko kidramatic sana, anyway ndo keshakuwa mwendazake hakuna namna tena tutabaki kusoma story zake tu. Na kuna mlinzi wake anajiandaa kuandika kitabu kama my memory serves me right.