Makapuku Forum

Leo katika historia

1986 - Usain Bolt anazaliwa. Ni moja kati ya wanariadha mahiri na bora wa wakati wote kutoka nchini Jamaica. Anatimiza miaka 30 leo huku akiwa kwenye michezo ya Olimpiki huko Jijini Rio.
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Usain Bolt mmoja kati ya wanadamu wenye kasi zaidi kuwahi kutokea Duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…