Makapuku Forum

Dah! Shemeji mi sijapenda kuona hili unless useme kitu maana kwa taarifa iliyopo hapa ni wewe mwenyewe ulimruhusu Nahrene kwenda kijijina kwa ajili ya kusimamia uvunwaji wa mpunga..
Wew cheka na nyani uvune mabua, youngblood anakuzunguka, jana kamsumbua sana shem, lkn shem nae aligoma, akiimbishax3 cjui
 
Dah! Shemeji mi sijapenda kuona hili unless useme kitu maana kwa taarifa iliyopo hapa ni wewe mwenyewe ulimruhusu Nahrene kwenda kijijina kwa ajili ya kusimamia uvunwaji wa mpunga..
Shemeji mimi nimeona isiwe tabu kila mtu ajue mambo yake mwenyewe.
Kama vipi msubiri akirudi utamuuliza mwenyewe naogopa kumwaga mchele hapa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…