Nashukuru Dada kwa kuliona hili. Huyu
youngblood anafikiri
lizziebettie nilimpata humu.
Kingine majungu tu yamemjaa sana. Atasubiri sana kwa maombi yake ya hovyo. Pia
manuu na
amaizing naikubali maana nilijitahidi kuwaunganisha mpaka mambo yakawa sawa.